Mwandishi : Kwanini Sugu, Lema na Boni Yai walisusia mkutano wa Makamu Heche Iringa.
John Mnyika : Nakiri kweli hawakuja, ila sikuwauliza kwanini hawajaja, japo hilo jambo tumeomba Baraza la Wazee liingilie ili lifanye usuluhishi wa viongozi wetu.
🎤 : Press