Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amekasirishwa na kitendo cha wafugaji Wilaya ya Iramba mkoani Singida kuijeruhi vibaya kwa panga familia ya watu wawili wanaofanya shughuli za
kilimo Wilayani humo.
Amebaini hayo kwenye ziara zake za kusikiliza na kutatua...