mkoa mbu tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkoa gani unaongoza kwa mbu Tanzania?

    Wadau, tunaomba kujua ni Mikoa ipi Inaongoza Kwa Mbu wengi TANZANIA. Mtu wangu wa Karibu AMECHOKA na MBU WA DAR, anataka Kuhama, sasa ili asije ruka Mkojo akakanyaga mavi, hebu changia Mikoa Mitatu hadi Mitano ili aiepuke. Asanteni wadau.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…