Habari zenu wakubwa?
Ebana kuna mwanamke mmoja hapa mbeya ni mjane,kwa maelezo yake na maelezo ya watu wanaomjua alifiwa na mume wake miaka minne iliyopita,kifo cha mume wake inasemekana alikua na madeni mengi tu huko bank na alikua anaelekea kufirisika,jamaa akaamua kujiua kwa kunywa sumu,huyu...