Nina hoja ya msingi kuhusu jinsi baadhi ya mitandao ya mikopo ya simu inavyokiuka makubaliano ya ulipaji. Kwa mfano ukikopa tarehe 15 mwezi huu, makubaliano yanaonyesha kwamba malipo yanapaswa kufanyika tarehe 21. Hata hivyo kabla ya tarehe hiyo kufika, tayari wateja wanaanza kupigiwa simu...