Kuna mwanamke alikuwa anakula pesa zangu; Sasa Leo kaingia line.
Nataka dawa yoyote ya kusisimua misuli ya uume. Nataka niitumie Leo tu Kwa huyu mla pesa zangu.
Hawa wanawake Wala pesa wanapenda sana kutamba kwamba wanachuna watu halafu hawawapi michezo.
Nataka Leo azitapike pesa zangu. Wakuu...