Mkuu wa Mkoa Kagera Hajjati Fatma Mwassa amesema mnamo Mwezi Mei Ujenzi wa Soko jipya la Manispaa ya Bukoba utaanza na baada ya mwaka mmoja litakuwa tayari kwa matumizi.
Aidha RC Mwassa amesema Stendi ndogo ya magari ya mjini kati ujenzi wake umefikia asilimia 80 huku stendi kuu ujenzi...