Kuanzia wiki mbili hizi Kasi ya uvujaji wa nyaraka za serikali imekuwa kubwa sana ,tunadhani nini shida?
Kinachoniogopesha zaidi ni huu uvujaji horela wa nyaraka zinazohusu mambo ya msingi yakitaifa hasa kwenye eneo la ulinzi na usalama .
Nawaza ikiwa hizi nyaraka zitafika mikononi mwa...