Mgombea wa Ubunge Jimbo la Tarime Mjini Esther Matiko amesema mpango wa kuingia Chama Cha Mapinduzi(CCM)alikuwa nao muda mrefu tangu wa wakati wa Serikali ya awamu ya Nne ya Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho kikwete
Matiko ameyasema hayo Musoma Mjini Mkoani Mara wakati akihojiwa na Wasafi Media...