Amri za wakuu wa wilaya za kuwaweka watu mahabusu kwa saa 48 zimeanza kuwaingiza matatani, baada ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha, Onesmo Buswelu, kuamriwa kulipa fidia ya Sh10 milioni na Serikali ikiamriwa kulipa Sh90 milioni.
Amri hiyo ilitolewa juzi na Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania...