Wakuu,
CHADEMA kupitia Naibu Katibu Mkuu CHADEMA Bara, Amani Golugwa watoa ratiba ya mikutano ambayo wanatarajia kufanya kuanzia Machi 23, ambapo
Machi 23: Pamoja na mambo mengine, kwenye mkutano huu ambao unatarajiwa kufanyika Mbeya Mjini, watawapokea wanachama wapya pamoja na kuwapokea...