Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka 18. Mwanafunzi aliyesoma shule ya kata ,ambaye MIAKA yote ameangaika kupata Mwalimu wa Physics kwa...