mikono salama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni wazi kuwa Nchi kwa sasa haipo kwenye mikono salama

    Kwa masikitiko makubwa sana Viongozi tuliokuwa nao kwa sasa wamekosa TIJA. Nadhani kwa mara ya kwanza kwenye Taifa letu tumeweza kuwa na rais mwenye uwezo mdogo sana Natambua wapo wanaonufaika na incompetence ya Samia , to them , ni stepping stone kufikia malengo yao : Kwenu CCM wenye akili...
  2. S

    Sikujua IGP Camilius Wambura ni mahiri hivi; system ya nchi yetu haijakosea, ni mtu sahihi, nchi iko mikono salama

    IGP Camilius Wambura leo amenikosha sana sana, ameongea mambo makubwa kifupi kwa weledi wa hali ya juu sana. Ni mtu sahihi kwa wakati sahihi, Mungu amlinde, ampatie afya njema, ampe hekima na busara kubwa sana. Nimeipenda kauli yake "Jeshi la polisi lina wivu mkubwa na amani ya nchi hii" Ahsante...
  3. B

    Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

    Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama: Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa? Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
  4. N

    Ukimsiliza vizuri Rais Samia utagundua Tanzania iko mikono salama

    Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa CAG pamoja na ripoti ya TAKUKURU. Baada ya kupokea ripoti hiyo Rais Samia Suluhu amesema "Ukisoma ripoti ya TAKUKURU ya mwaka juzi nilipopokea kijiti na ripoti ya sasa utaona kabisa kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…