miili kuokotwa beach

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwili wa Mwanamke waokotwa Coco Beach

    Mwili wa mwanamke ambaye hajatambulika jina, umepatikana leo Oktoba 10, 2025 katika eneo la Coco Beach, Dar es Salaam. Musa Miamba, Mwenyekiti wa Utunzaji wa Mazingira eneo hilo, amethibitisha kupatikana kwa mwili huo. Mwili umechukuliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya taratibu za kuhifadhi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…