Jinsi ya kutumia tovuti ya #midjourney kutengeneza picha za hatari:
1. Jisajili kwenye Discord.com. Hakikisha una verify email yako.
2. Ingia midjourney.com alafu utengeneze account yako kwenye option ya register.
3. Ingia kwenye #newcomer rooms.
4. Ukitaka kutengeneza picha, tumia command...