Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Morogoro, wameandaa Kongamano kubwa litakalokuwatanisha Vijana kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Morogoro litakalofanyika leo.
Soma, Pia: Hatima ya Walimu Wasio na Ajira (NETO) kujulikana baada ya siku 45, wapongeza 4R za Rais Samia...