Wakuu,
Baada ya Tuzo za Kalamu ya Samia Mhariri wa Gazeti la Daily News alirusha jiwe angani, akasema, wenye D mbili na hata wale wenye F wameelewa. Maana kilichofanyika pale ni kuzika uhuru wa vyombo habari, kuwazuia vidomo domo kwenye kuchimba na kuwapiga mkwara, tumewapa hela hizi sasa ole...