mh. tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mizaha ya kukera ya Mh. Tundu Lissu, inafanya watesi Wake wamchukie Zaidi!

    Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu. Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
  2. JamiiForums Tanzania Lissu alishawahi kuchangisha hela kwa lengo la kununulia gari jipya. Gari lilinunuliwa? Kama halikununuliwa hela za watu zipo wapi?

    Kwakweli huwa inaumiza sana pale mtu anapotumia umaarufu wake au chama chake au nafasi yake katika jamii kupora Hela na Mali za watanzania kwa makusudi yake binafsi. Mimi instinct desire Leo nahoji zilipo Hela alizochangisha tundu Lissu kwa lengo la kununulia gari zilienda wapi wakati gari...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna vigogo walambishwa asali wameandaliwa kama mashaudi kwenye kesi ya Lissu

    taarifa za ndani na za kiintelijensia ( These are very classified) ni kwamba OMBI la DPP kutaka ushahidi mficho ni kwasababu miongoni mwa mashahidi ni wanachama WA CHADEMA ambao hawamuungi mkono mheshimiwa na wengine walilamba ASALI wako CHAUMMA na baadhi ni Watu wazito Kwenye taasisi za...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mdomo huponza kichwa - Tundu Lissu

    Kama mtanzania ambaye nimempigia kura Mheshimiwa Lissu mara mbili kwenye chaguzi zilizopita (jimboni na uraisi), naamini hajafanya kosa la uhaini na hayo ni mashtaka ni ya kutengeneza na hewa, THAT BEING SAID sikubaliani na kauli ambazo Mh. Lissu amekua anazitoa kwenye mikutano hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…