mfumo wa chama kimoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    I wonder if you actually think they will hesitate to do it ? Tundu Lissu atanyongwa !

    Kwa hali ya sasa, wengi wanadhani Lissu kafungwa tu kama mbinu ya kawaida ya kumzuia(delay tactics), lakini mambo yatakuwa tofauti na tulivyozoea. tumezoea upinzani wakikamatwa huwa kuna nafasi ya msamaha, maridhiano, mazungumzo, Lakini hizo zama zimefikia ukingoni !! Tunaingia stage mpya...
  2. J

    Vijana wenye umri wa miaka 33 sasa hawaelewi kivitendo ni vipi mfumo wa Chama kimoja ulipendeza, sasa wataona na 2030 Watajua hatima yao!

    Mfumo wa vyama vingi tunaoutumikia sasa haukuwa takwa la Wananchi walio wengi bali Dola iliulazimisha ili kuwafurahisha Wafadhili wa ubeberuni Vijana ambao ndio wengi ili Wajue ni mfumo gani utawafaa kwenye Tanzania yao ni lazima kwanza warudishwe kwenye mfumo wa Chama kimoja wapractice Siasa...
  3. M

    Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  4. R

    Katika mwaka ambao mwamko wa kwenda kupiga kura utakuwa mdogo kuliko miaka yote ya uchaguzi ni huu, Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja

    Ni bora turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja hizi purukushani za interview wakati ajira zishapangwa ni kupoteza muda na kodi za wananchi
  5. PreGE2025 Ushauri: Siasa za kistaarabu zimeshindikana Tanzania, turudi kwenye mfumo wa chama kimoji

    Wasalaam Tukirejea katika hotuba ya Mwl Nyerere , wakati akizungumzia mapendekezo ya uwepo wa mfumo wa vyama vingi, anaelezea kwa kina dhamira ilikuwa ni kuwapa tahadhari CCM wasijikute wanaangia katika usingizi , na yeye mwenyewe anakiri kuwa kwa wakati huo aliona kuna namna viongozi walilala...
  6. Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  7. Tanzania tupo kwenye mfumo wa chama kimoja ulioshirikisha vyama vingi

    Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja. Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
  8. G

    PreGE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

    Kipindi cha Kikwete alileta mapnduz makubwa mno kwenye siasa za nchi yetu kwenye siasa za upinzani, Uhuru wa kuongea na baada ya kuongea, n.k. Siwezi kusema kikwete alikuwa mkamilifu kwenye kuleta siasa huru lakini alijitahidi Kwa mara ya kwanza wagombea wapinzani walijaa bungeni matumizi...
  9. Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

    "Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza. Dkt. Benson...
  10. Mkiwa na akili Mfumo wa Chama Kimoja mzuri sana tofauti na Mfumo wa Vyama Vingi

    Acha niweke wazi hapa mwanzo kabisa kuwa binafsi siungi mkono mfumo wa chama kimoja hapa taifani. Haya turudi kwenye uzi. Kwa watu au taifa la watu wenye akili mfumo wa chama kimoja ni moja ya mfumo mzuri na bora sana katika kutawala na kuleta maendeleo na kuimarisha umoja. Hii nafasi wanayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…