Mercedes Benz wamezindua C Class with EQ Technology, ambayo ni sedan ya umeme tu. (Haina maana kwamba C Class ya ICE imekufa, hapana, ipo)!
C Class with EQ Technology Mercedes waliiteaser mwaka jana walivokua wanazindua GLC with EQ Technology, ila officially imezinduliwa jana tar 20 April...