melikisedeki kaijage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ugaidi ya Dkt. Kaijage yaahirishwa hadi Agosti 19, 2026

    Shauri la ugaidi linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Dk Melikisedeki Kaijage, limeahirishwa hadi Agosti 19, 2026 baada ya kutajwa Agosti 5, 2026 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma. Soma zaidi: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

    Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana. Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…