Kwa wale Watumishi wa Umma ambao wamebahatika kupata uhamisho unaotolewa na Tamisemi kati ya mwezi May hadi July 2021, vip kuna ambao wamepata vibali au barua za kuruhusiwa kwenda waliko hamia?
Mwenye taarifa zaidi tafadhali atujuze. Hii ni kwa sababu hali hii haijazoeleka kwa miaka ya nyuma...