Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
Na Adhabu Inaweza Kuongezeka Kufikia Kuporomoshwa Daraja.
Hili Limekaaje Wadau?
Bodi Ya Ligi ina lengo La kuwaumbua Viongozi Vya Vilabu wasiotumia Busara Kuongoza?
Ni Vijimambo vinavyopatika Ligi yetu Ya Tanzania tu...!
Shirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022.
Shirikisho hilo limewataka waandishi wa habari kuwepo kesho asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Dar es Salaam.
Hivyo kesho Mdhamini...