mchango wa kanisa geita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Abdallah Bulembo aahidi milioni 3 kwa ukarabati wa jengo la Parokia ya Kome

    Mbunge mstaafu, Abdallah Bulembo ambaye ni mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jamii) ameahidi kutoa milioni 3 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria...
  2. PreGE2025 Waziri Ndejembi aahidi milioni 5 kwa ukarabati wa Parokia Geita

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Waziri. Mhe. Deogratius J. Ndejembi ameahidi kutoa milioni 5 kwenye harambee iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria...
  3. PreGE2025 RC Mwanza, Mtanda achangia milioni 5 ukarabati wa parokia ya Kome

    Kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri Japheth Masalu wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome, Mkuu wa Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…