Nabii Mkuu wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dkt. Geordavie ametoa mchango wa shilingi Milioni 50 za Kitanzania kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha kwaajili ya kuwezesha Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania Samia anayetarajiwa kuwa na kampeni za Uchaguzi Mkuu Mkoani Arusha tarehe mbili mwezi...