Alitoa hoja bwana Zungu kuwa wananchi wachangie serikali kupitia line za simu bila kujua kuwa tayari wanachangia kupitia kununua vocha na kutuma na kupokea pesa.
Sasa zungu akatoa hoja nyingine ya wananchi kulipishwa mara mbili kwenye huduma moja, yaani pale unapotuma hau kutoa pesa kuna kodi...