mbunge wa bumbuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama

    Wananchi wa Bumbuli mkoani Tanga wamechukizwa na tabia ya mbunge wao January Makamba kuwapa ma draft kwa ajili yakuchezea wakati barabara ni mbivu na huduma zingine nizashida sehemu hiyo.
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha ulivyokuwa uwanja ule ingekusaidi. Wanawake Bumbuli uliwadanganya. Wao walikaa kimya wakijua ungetenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…