Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mwalimu Jumanne Misungwi, ametaka hekima na busara zitumike katika utatuzi wa mgogoro wa eneo linalodaiwa kuwa mali ya Serikali, akisisitiza umuhimu wa kufanya vikao vya ndani ili kupata suluhisho la kudumu.
Misungwi ametoa kauli hiyo kufuatia...