mboni masimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Aliyekuwa mtangazaji wa The Mboni Show, Mboni Masimba naye achukua fomu kuwania Ubunge Viti Maalum Handeni Mjini

    Wakuu, Yaani CCM ukiwa unapumua tu basi hiyo ni qualification tosha ya kuchukua fomu. Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mboni Masimba amechukua fomu ya kuomba ridhaa kuwania ubunge wa Viti Maalumu kupitia Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Mkoa wa Tanga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…