mbogamboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa jinsi ya kuandaa mazao tofauti pamoja na mbogamboga. Vitu gani vinauzika zaidi?

    Habari zenu wakuu, Ndugu yenu nimekuja hapa nina jambo, wale wataalam wa bustani, wenye uzoefu ama ujuzi katika harakati hizi nahitaji mawili ma3. Ndugu yenu nataka nianze kulima bustani nimetenga eneo la hekari kama 2 hivi, nishafanikiwa kuchimba na kisima, naendelea kukifukua nipate maji ya...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kilimo cha mbogamboga kwa umwagiliaji wa matone – Zanzibar

    DRAFT 1 MATUMIZI Gharama zisizojirudia kila msimu 1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili. 2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili. 3.Unatakiwa kuwa na sola, umeme au jenereta. Cost will vary depend on the chosen alternative. 4.Pump (Horse Power 2)...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je kuna usalama kwa mlaji kwenye mbogamboga tunazonunua mitaani na sokoni?

    JE, MAJI WANAYO TUMIA KUMWANGILIZIA NA KUOSHEA MCHICHA UNAOKULA UNAYAJUA? Siku moja nilipata wasaa wa kutembelea maeneo ya Buguruni-marapa,Dar es salaam katika bonde kubwa ambalo watu wa maeneo ya pale utumia kulima mbogamboga. Furaha yangu ilifika kiwango cha juu sana baada ya kukutana na...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu kilimo cha mbogamboga mkoa wa Lindi

    Habari, Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye soko zuri. Naomba maelekezo kabla sijaenda huko kikazi
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kulima mbogamboga

    Hellow, guys Kwa walio mkoa wa Kilimanjaro na wenyeji ni aina gani ya mbogamboga zinahitajika kwa wingi endapo ukiwekeza kwenye mbogamboga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…