Siku moja jamaa yangu mmoja kutoka kijijini alinipigia simu akaniambia, "Kaka, nimefika mjini!" Nikamuuliza, "Umefika wapi?" Akasema, "Posta, daraja la Salender Bridge." Nikashangaa, maana sikuwahi kumwambia aje huko. Nikamuuliza tena, "Nani amekuambia ushuke huko?" Akajibu, "Konda wa daladala...