KIWANJA KINAUZWA – MBEZI MPIGI MAGOE (KWA MZUNGU)
Unatafuta kiwanja kwenye eneo zuri la makazi au uwekezaji? Hiki ni fursa yako!
Ukubwa: Mita 20 × 20
Kiwanja kimepimwa
Hati inatolewa moja kwa moja kwa jina la mnunuzi
Kimezungukwa na fensi ya ukuta pande mbili
Maji na umeme vinapatikana jirani...