mazoea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nifanyeje nizoeane na majirani?

    Tangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kurudi jioni wakiwa ndani ya magari yao...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali, Wizara, Halmashauri, Agencies za umma (TRA, BRELA, BOT, TRA, TIC) mkiendelea na kazi kwa mazoea mtaendelea kuwa wahujumu uchumi namba 1

    Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita. Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015. Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Tuache mazoea ya kuvumilia kila kitu kwenye ndoa

    Tuache upumbavu wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" .... Wanawake wengi wamepoteza kazi, ndoto zao na hata wengine wamelemazwa kabisa kwasababu ya huu upuuzi wa kusema "NDOA NI UVUMILIVU" ..... na kuna wale ambao wameuawa katika ndoa. Ninyi wazazi ambao mnakimbilia kila mara kuwaambia binti zenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…