Mazinge alikuwa anamponda Dr. Sule kwamba ni mchawi,sababu Sule ameamua kuwa wazi anasema anafuga majini na uislamu unaruhusi na yanamsaidia ,Mazinge alimuandama sana MWAMPOSA kwakutapeli watu kuuzia watu mafuta maji na mchanga
Mazinge naye sasa njaa imempiga ameungana na mganga Sharif firdaus...