maumivu ya jino

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dawa ya jino, Alera. Nisuluhisho kwa maumivu ya jino.

    JE, UNAUMWA NA JINO AU FIZI? 😖 Maumivu ya jino yanaweza kuharibu siku yako yote—ukose kula vizuri, kushindwa kulala na hata kuathiri mdomo kutoa harufu mbaya. Wengi hufikiri suluhisho ni kung’oa tu, lakini si lazima ufikie huko. 🌿 ALERA ni dawa asilia iliyotengenezwa kwa viambato vya mimea ya...
  2. Msaada jino maumivu ya jino

    Nasumbuliwa na jino linauma sana wakati wa kunywa Chai au juice nimetumia dawa za kutuliza maumivu na Mouth wash lakini tatizo limekua likiendekea, Nikinywa Chai au juice na Tikiti maji jino linauma .
  3. Huduma ya kwanza kwa mtu anayesumbumiwa na maumivu ya jino

    Hello ,happy new year. Ukiwa unaumwa jino , unashauriwa kwenda hospital Kwa ajili ya matibabu zaidi . Ila pia ikiwa upo mbali na hospatli Ila maumivu yamekuzidia Sana . Chukua maji ya moto changanya na Chumvi baada ya hapo weka mdomoni usukutue Sana kuanzisha dk 5-10 Rudia rudia hilo zoezi...
  4. C

    Maumivu ya jino

    Jino langu lilizibwa permanent baada ya kufanyiwa procedure inaitwa root canal kama sijakosea. Nimekaa jino likiwa sawa tu kwa miezi 6 ila sasa limeanza kuuma nini shida?
  5. Kupunguza au kuondoa kabisa maumivu ya jino kabla ya kwenda hospitali sukutua kwa maji ya chumvi mara 5 kwa siku, siku tatu kisha nenda hospitali

    Mimi naapa nilikuwa siwezi kula , kunywa wala kulala, meno yametoboka yanauma mno hadi machozi yanakuja mi mwanaume nakaza hakuna kulia, mishipa ya kichwa inatoka kichwa kinauma mno, nikamuuliza msela mmoja boda boda nifanyeje kupata ahueni, sidhani kama alimaliza la saba B. Mimi nina madigrii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…