ma'simp

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usimp, udhaifu wa kiume unaopewa sura ya ushujaa wa kiume

    Simp ni aina ya mwanaume asiyejiweza mbele ya wanawake na ambaye yupo tayari kujitoa kifedha,muda,na jitihada bila mipaka ili tu kumfurahisha mwanamke bila mrejesho wowote kutoka kwa huyo mwanamke akiwa na matumaini ya kupewa attention kama shukurani. Mahusiano haya yanaweza kuwa kiuchumba,na...
  2. Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

    Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…