CHAKULA CHAKO • FORMULA YAKO • BRAND YAKO • SISI TUNACHANGANYA NA KUPELLETIZE.
FRANA7WAYS FEEDS inakupa huduma ya kuchanganya na kutengeneza pellets (Punje) kwa kutumia malighafi na formula yako.
Tunatengeneza chakula kwa ajili ya:
🐔 Kuku — Broiler, Layers na Chicks
🐖 Nguruwe
🐟 Samaki
🐄...
Tunauza mashine za kuchakata malisho ya mifugo kama vile kuku.
Mashine hii inauwezo wa kuchakata mabua na majani hadi kuwa vipande vidogo dogo sana.
Inauwezo pia wa kusaga magunzi,mahindi,mashudu na material mengineyo yanayotumika katika kutengenezea chakula cha kuku hadi kuwa unga kabisa...