Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma limewataka wananchi kujiepusha na vitendo vya vurugu au uhalifu kuelekea siku ya kupiga kura ya uchaguzi mkuu itakayofanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, SACP Marko Chilya, ametoa kauli hiyo katika mahojiano maalumu na mwandishi wa habari...