Marekani na Israel wamevamia Iran wakitegemea kumaliza oparesheni ndani ya siku 4 tu, lakini sasa siku 18 zimefika huku vita ikionesha dalili za kukolea kuliko kuisha. Iran wamepigwa, lakini wamemsababishia Marekani hasara kubwa kiusalama na kiuchumi ambapo CNN wanasema Marekani anatumia zaidi...