BREAKING NEWS:
Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea.
Kitengo maalumu cha CAPSAT (ambacho kilimweka Rajoelina madarakani katika mapinduzi ya mwaka 2009),kilimsaliti Rajoelina...