Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi ameitangaza kuwa Tarehe 29 Oktoba 2025 Siku ya Jumatano kuwa ni siku ya mapumziko kwa wananchi wote wa Zanzibar
Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inaeleza kuwa sababu za Rais Mwinyi kufanya uamuzi...