Klabu ya Simba SC itashuka dimbani katika Uwanja wa New Amaan Complex Stadium katika mchezo wa Mapinduzi Cup 2026 hatua ya Nusu Fainali dhidi Azam Fc majira ya saa 8:15 usiku. Mshindi katika mchezo huu atafuzu moja kwa moja hatua ya Fainali ikimsubiri mshindi kati ya Yanga au Singida Black Stars.