maoni ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini RFA Wanakatisha matangazo kuhusu maoni ya uchaguzi?

    Mjanja M1 leo nilikuwa nasikiliza matangazo ya DW kupitia RFA. Kuna mchambuzi wa siasa alikuwa anaelezea mambo sio yanayofanyika Kwenye chaguzi nchini lakini ghafra bin Vu! RFA wakakatisha matangazo ya DW na kuweka vitu vyengine ilhali muda wa matangazo bado hujaisha. Hii sio mara ya kwanza...
  2. LGE2024 Mwenyekiti Kijitonyama: Uchaguzi ulikuwa huru na haki

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, Steven Jovin amesema Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika jana Novemba 27, 2024 ulikuwa huru na wa haki na hakukuwa na shida yoyote. Akizungumza mara baada ya kuapishwa kwa wenyeviti wateule 106 wa Manispaa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…