maonesho sabasaba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania yang’ara kwenye uzinduzi wa Maonesho ya 50 ya Sabasaba 2026

    ●Yatwaa tuzo mbili ikiwemo mshindi wa tatu wa jumla Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Daniel Chapo wakipokea maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Philip Besiimire, kuhusu huduma mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  3. JamiiForums Tanzania MOI kuendesha Kliniki Maalum katika Maonesho ya Sabasaba 2025

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inatarajia kuendesha kliniki maalum ya kibobezi ya matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba kwa mwaka 2025. Hayo yalisemwa Juni 27, 2025 na Meneji Uhusiano wa MOI, Bw...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…