Nimekuwa nikijiuliza maswali kuhusu utaratibu wa maegesho ya SGR kwenye stations zote kama mapato yatokanayo na ada ya maegesho yanaenda wapi?
Kama ni mapato ya serikali kwanini yasilipwe kwa control number? Mbona bookings za tickets za SGR zina control number lakini malipo ya maegesho...