Nje ya uwanja vyombo vya habari nchini Mali vimeripoti kukamatwa bwana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sinayogo ,ambaye ni Mganga wa kienyeji , hii baada ya kudaiwa kupokea jumla ya €33,500 [Tsh. 97 Milioni] akiwahakikishia watu kuwa Mali itabeba ubingwa wa AFCON.
Sinayogo alikusanya pesa hizo...