WAKUU, WEEKEND NJEMA!
Leo nitaangazia jinsi ya Kumlea Mtoto Akue Kiakili, Kiroho na Kijamii kwa Misingi ya Mila na Tamaduni za Kitanzania. Nikiwa kama baba naelewa kulea ni jukumu na si bahati— na ninajua wengi wetu hapa ni baba, mama, walezi, na hata wajukuu wanaolea. Tumekutana hapa kwa lengo...