Malcolm-Jamal Warner, muigizaji maarufu wa Marekani aliyeng’ara kupitia kipindi cha "The Cosby Show," amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 54, Taarifa zinasema Warner alifariki kwa kuzama majini baada ya kusombwa na mawimbi makali akiwa anaogelea huko Playa Cocles, mkoa wa Limón, pwani ya...