Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Rais Samia amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma kwa tukio la kupiga Bastola angani.
Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi. Jiwe la Msingi...