Hello!
Kwa idadi ya watu katika majimbo, kwa muundo wa kijiografia na kuibuka kwa wagombea wapya ndio sababu kuu ya kuundwa kwa majimbo mapya.
Watanzania wenzangu nawaonea huruma sana.
Mimi nanufaika na kodi za Watanzania hata kama kwa kamba fupi niliyonayo.
Hiki chama ni hatari kwa ustawi wa...
🔹. Kuongeza uwakilishi – Wananchi wengi zaidi wanapata wawakilishi wa karibu wanaojua changamoto zao.
🔹. Kuhamasisha ushiriki wa wananchi – Inarahisisha wananchi kushiriki katika uchaguzi na masuala ya maendeleo.
🔹. Kusogeza huduma karibu – Majimbo mapya hurahisisha upatikanaji wa huduma za...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele
Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikifunga mchakato wa kuchunguza na kugawa majimbo Machi 26, 2025, kumekuwa na mjadala kuhusu vigenzo vya ugawaji wa majimbo, kuyaongeza na kubadilisha majina.
INEC imepewa mamlaka...